7 Shughulikieni ustawi wa mji ambamo nimewahamishia. Niombeni kwa ajili ya mji huo, maana katika ustawi wake nyinyi mtastawi.
Kusoma sura kamili Yeremia 29
Mtazamo Yeremia 29:7 katika mazingira