Yeremia 3:1 BHN

1 “Mume akimpa talaka mkewe,naye akaondoka kwake,na kuwa mke wa mwanamume mwingine,je mume yule aweza kumrudia mwanamke huyo?Je, kufanya hivyo hakutaitia nchi unajisi mkubwa?Wewe Israeli, umefanya ukahaba na wapenzi wengi,je, sasa unataka kunirudia mimi?

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:1 katika mazingira