Yeremia 3:12 BHN

12 Basi, nenda ukamtangazie Israeli maneno yafuatayo:Rudi, ewe Israeli, usiye mwaminifu.Nami sitakutazama kwa hasirakwa kuwa mimi ni mwenye huruma.Naam, sitakukasirikia milele.

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:12 katika mazingira