Yeremia 3:19 BHN

19 Mwenyezi-Mungu asema,“Israeli, mimi niliwaza,laiti ningekuweka miongoni mwa wanangu,na kukupa nchi nzuri ajabu,urithi usio na kifani kati ya mataifa yote.Nilidhani ungeniita, ‘Baba Yangu’,na kamwe usingeacha kunifuata.

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:19 katika mazingira