Yeremia 3:24 BHN

24 “ ‘Tangu ujana wetu, tendo hili la aibu limeangamiza kila kitu walichotolea jasho wazee wetu: Makundi yao ya kondoo na ng'ombe, wana wao na binti zao.

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:24 katika mazingira