Yeremia 3:3 BHN

3 Ndiyo maana manyunyu yamezuiliwa,na wala mvua za vuli hazijanyesha.Hata hivyo uko macho makavu kama kahaba,huna haya hata kidogo.

Kusoma sura kamili Yeremia 3

Mtazamo Yeremia 3:3 katika mazingira