10 “Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi:Usiogope ee Yakobo mtumishi wangu,wala usifadhaike, ee Israeli;maana nitakuokoa huko mbali uliko,na wazawa wako kutoka uhamishoni.Utarudi na kuishi kwa amani,wala hakuna mtu atakayekuogopesha.
Kusoma sura kamili Yeremia 30
Mtazamo Yeremia 30:10 katika mazingira