19 Humo zitatoka nyimbo za shukranina sauti za wale wanaosherehekea.Nitawaongeza na wala hawatakuwa wachache;nitawafanya waheshimiwe wala hawatadharauliwa.
Kusoma sura kamili Yeremia 30
Mtazamo Yeremia 30:19 katika mazingira