Yeremia 30:8 BHN

8 “Siku hiyo itakapofika, nasema mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, nitaivunja nira iliyo shingoni mwao na kukata minyororo yao.

Kusoma sura kamili Yeremia 30

Mtazamo Yeremia 30:8 katika mazingira