Yeremia 31:13 BHN

13 Ndipo wasichana wao watafurahi na kucheza,vijana na wazee watashangilia kwa furaha.Nitageuza maombolezo yao kuwa furaha,nitawafariji na kuwapa furaha badala ya huzuni.

Kusoma sura kamili Yeremia 31

Mtazamo Yeremia 31:13 katika mazingira