Yeremia 31:27 BHN

27 Mwenyezi-Mungu asema: “Tazama, siku zaja ambapo nitaijaza nchi ya Israeli na nchi ya Yuda watu na wanyama kama mkulima asiavyo mbegu.

Kusoma sura kamili Yeremia 31

Mtazamo Yeremia 31:27 katika mazingira