Yeremia 31:30 BHN

30 La! Kila mmoja atakufa kwa sababu ya dhambi zake mwenyewe; ni yule tu atakayekula zabibu mbivu ndiye meno yake yatatiwa ganzi.”

Kusoma sura kamili Yeremia 31

Mtazamo Yeremia 31:30 katika mazingira