Yeremia 31:33 BHN

33 Baada ya siku hizo, nitafanya agano lifuatalo na Waisraeli: Nitaiweka sheria yangu ndani yao, na kuiandika katika mioyo yao. Mimi nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 31

Mtazamo Yeremia 31:33 katika mazingira