Yeremia 31:35 BHN

35 Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi-Mungu, ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi, aliyepanga jua liangaze mchana, mwezi na nyota vimulike usiku, na aifanyaye bahari iwe na mawimbi:

Kusoma sura kamili Yeremia 31

Mtazamo Yeremia 31:35 katika mazingira