Yeremia 31:38 BHN

38 Mwenyezi-Mungu asema: “Siku zaja ambapo mji huu wa Yerusalemu utajengwa upya kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu, kutoka mnara wa Hananeli hadi Lango la Pembeni.

Kusoma sura kamili Yeremia 31

Mtazamo Yeremia 31:38 katika mazingira