Yeremia 32:12 BHN

12 Nilimpa hiyo hati ya ununuzi Baruku mwana wa Neria mwana wa Maaseya, mbele ya binamu yangu Hanameli na mashahidi waliokuwa wametia sahihi hati ya ununuzi, na mbele ya Wayahudi wote waliokuwa wameketi katika ukumbi wa walinzi.

Kusoma sura kamili Yeremia 32

Mtazamo Yeremia 32:12 katika mazingira