Yeremia 32:20 BHN

20 Katika nchi ya Misri ulifanya maajabu, ukatenda miujiza, na unaendelea kufanya hivyo mpaka leo miongoni mwa Waisraeli na katika mataifa mengine pia, jambo ambalo limekufanya ujulikane kila mahali.

Kusoma sura kamili Yeremia 32

Mtazamo Yeremia 32:20 katika mazingira