28 Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Ninautoa mji huu kwa Wakaldayo na kwa Nebukadneza mfalme wa Babuloni, naye atauteka.
Kusoma sura kamili Yeremia 32
Mtazamo Yeremia 32:28 katika mazingira