33 Wao walinipa kisogo badala ya kunigeuzia nyuso zao; ingawa nimewafundisha tena na tena, wao hawakusikiliza na kuyapokea mafundisho yangu.
Kusoma sura kamili Yeremia 32
Mtazamo Yeremia 32:33 katika mazingira