Yeremia 34:18 BHN

18 Watu waliovunja agano langu na kukataa kufuata masharti ya agano walilofanya mbele yangu, nitawafanya kama yule ndama waliyemkata sehemu mbili na kupita katikati yake.

Kusoma sura kamili Yeremia 34

Mtazamo Yeremia 34:18 katika mazingira