Yeremia 34:2 BHN

2 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli asema hivi: Nenda ukaongee na Sedekia, mfalme wa Yuda. Mwambie kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nimeutia mji huu mikononi mwa mfalme wa Babuloni, naye atauteketeza kwa moto.

Kusoma sura kamili Yeremia 34

Mtazamo Yeremia 34:2 katika mazingira