Yeremia 34:21 BHN

21 Naye Sedekia, mfalme wa Yuda, pamoja na viongozi wake, nitawatia mikononi mwa maadui zao, na mikononi mwa watu wanaotaka kuwaua; yaani mikononi mwa jeshi la mfalme wa Babuloni ambalo limeondoka na kuacha kuwashambulia.

Kusoma sura kamili Yeremia 34

Mtazamo Yeremia 34:21 katika mazingira