Yeremia 34:5 BHN

5 Utakufa kwa amani. Na, kama vile watu walivyochoma ubani walipowazika wazee wako waliokuwa wafalme, ndivyo watakavyokuchomea ubani na kuomboleza wakisema, ‘Maskini! Mfalme wetu amefariki!’ Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Yeremia 34

Mtazamo Yeremia 34:5 katika mazingira