16 Waliposikia maneno hayo yote, walitazamana kwa hofu. Wakamwambia Baruku, “Hatuna budi kumweleza mfalme maneno haya yote.”
Kusoma sura kamili Yeremia 36
Mtazamo Yeremia 36:16 katika mazingira