Yeremia 36:20 BHN

20 Baada ya wakuu kuweka hati ile ndefu katika chumba cha Elishama katibu wa mfalme, walimwendea mfalme ukumbini, wakamjulisha mambo yote.

Kusoma sura kamili Yeremia 36

Mtazamo Yeremia 36:20 katika mazingira