Yeremia 36:26 BHN

26 Mfalme alimwamuru Yerameeli mwanawe, Seraya mwana wa Azrieli na Shelemia mwana wa Abdeli, wamkamate katibu Baruku na nabii Yeremia. Lakini Mwenyezi-Mungu aliwaficha.

Kusoma sura kamili Yeremia 36

Mtazamo Yeremia 36:26 katika mazingira