Yeremia 36:31 BHN

31 Nami nitamwadhibu yeye na wazawa wake pamoja na watumishi wake kwa sababu ya uovu wao. Nitawaletea wao na wakazi wote wa Yerusalemu pamoja na watu wote wa Yuda maafa yote niliyotamka dhidi yao na ambayo hawakuyajali.”

Kusoma sura kamili Yeremia 36

Mtazamo Yeremia 36:31 katika mazingira