4 Ndipo Yeremia akamwita Baruku mwana wa Neria. Naye Baruku akaandika katika kitabu maneno yote aliyotamka Yeremia ambayo Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwambia.
Kusoma sura kamili Yeremia 36
Mtazamo Yeremia 36:4 katika mazingira