Yeremia 37:1 BHN

1 Mfalme Nebukadneza wa Babuloni alimtawaza Sedekia mwana wa Yosia, kuwa mfalme wa Yuda mahali pa Konia mwana wa Yehoyakimu.

Kusoma sura kamili Yeremia 37

Mtazamo Yeremia 37:1 katika mazingira