Yeremia 37:14 BHN

14 Yeremia akamwambia, “Huo ni uongo! Mimi sitoroki na kwenda kujiunga na Wakaldayo.” Lakini Iriya hakusadiki maneno ya Yeremia. Basi akamtia nguvuni na kumpeleka kwa maofisa.

Kusoma sura kamili Yeremia 37

Mtazamo Yeremia 37:14 katika mazingira