Yeremia 37:9 BHN

9 Mimi Mwenyezi-Mungu nasema kwamba msijidanganye wenyewe na kusema kwamba jeshi la Wakaldayo litaondoka; kweli halitaondoka.

Kusoma sura kamili Yeremia 37

Mtazamo Yeremia 37:9 katika mazingira