19 Mfalme Sedekia akamwambia Yeremia, “Nawaogopa Wayahudi waliokimbilia kwa Wakaldayo. Huenda nikakabidhiwa kwao, wakanitesa.”
Kusoma sura kamili Yeremia 38
Mtazamo Yeremia 38:19 katika mazingira