Yeremia 38:9 BHN

9 “Bwana wangu mfalme, watu hawa wamefanya kitu kibaya. Wamemtumbukiza yule nabii Yeremia kisimani ambamo kwa kweli atakufa kwa njaa, kwa maana hamna chakula tena mjini.”

Kusoma sura kamili Yeremia 38

Mtazamo Yeremia 38:9 katika mazingira