Yeremia 39:1 BHN

1 Mnamo mwezi wa tisa wa mwaka wa tisa wa utawala wa Sedekia mfalme wa Yuda, Nebukadneza mfalme wa Babuloni alifika na jeshi lake lote kuushambulia mji wa Yerusalemu, akauzingira.

Kusoma sura kamili Yeremia 39

Mtazamo Yeremia 39:1 katika mazingira