Yeremia 39:18 BHN

18 Maana, kweli nitakuokoa na hutauawa vitani; utapata faida ya kuokoa maisha yako kwa sababu umeniamini mimi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Yeremia 39

Mtazamo Yeremia 39:18 katika mazingira