Yeremia 39:4 BHN

4 Naye Sedekia, mfalme wa Yuda na askari wake wote walipowaona, walitoroka. Walitoka nje ya mji usiku, wakipitia katika bustani ya mfalme, kwenye lango katikati ya kuta mbili, wakaenda upande wa Araba.

Kusoma sura kamili Yeremia 39

Mtazamo Yeremia 39:4 katika mazingira