Yeremia 39:6 BHN

6 Hukohuko Ribla, mfalme wa Babuloni aliwaua wana wa Sedekia mbele ya baba yao. Aliwaua pia maofisa wote wa Yuda.

Kusoma sura kamili Yeremia 39

Mtazamo Yeremia 39:6 katika mazingira