22 Mwenyezi-Mungu asema:“Watu wangu ni wapumbavu,hawanijui mimi.Wao ni watoto wajinga;hawaelewi kitu chochote.Ni mabingwa sana wa kutenda maovu,wala hawajui kutenda mema.”
Kusoma sura kamili Yeremia 4
Mtazamo Yeremia 4:22 katika mazingira