Yeremia 4:29 BHN

29 Watakaposikika wapandafarasi na wapiga mishale,kila mmoja atatimua mbio.Baadhi yao watakimbilia msituni,wengine watapanda majabali.Kila mji utaachwa tupu;hakuna mtu atakayekaa ndani.

Kusoma sura kamili Yeremia 4

Mtazamo Yeremia 4:29 katika mazingira