Yeremia 40:12 BHN

12 wote walirudi kutoka mahali pote walipokuwa wametawanyika na kwenda katika nchi ya Yuda kwa Gedalia huko Mizpa. Walichuma zabibu na matunda ya kiangazi kwa wingi sana.

Kusoma sura kamili Yeremia 40

Mtazamo Yeremia 40:12 katika mazingira