Yeremia 40:14 BHN

14 “Je, una habari kwamba Baali mfalme wa Waamoni, amemtuma Ishmaeli mwana wa Nethania, akuue?” Lakini Gedalia mwana wa Ahikamu, hakuamini maneno yao.

Kusoma sura kamili Yeremia 40

Mtazamo Yeremia 40:14 katika mazingira