Yeremia 40:16 BHN

16 Lakini Gedalia mwana wa Ahikamu, akamwambia Yohanani mwana wa Karea, “Usifanye jambo hilo! Mambo unayosema juu ya Ishmaeli si ya kweli!”

Kusoma sura kamili Yeremia 40

Mtazamo Yeremia 40:16 katika mazingira