14 Basi, watu hao wote ambao Ishmaeli alikuwa amewachukua mateka kutoka Mizpa, waligeuka, wakarudi nyuma, wakamwendea Yohanani mwana wa Karea.
Kusoma sura kamili Yeremia 41
Mtazamo Yeremia 41:14 katika mazingira