Yeremia 41:18 BHN

18 walikuwa wanawaogopa Wakaldayo tangu wakati Ishmaeli mwana wa Nethania, alipomuua Gedalia mwana wa Ahikamu ambaye mfalme wa Babuloni alikuwa amemteua kuwa mtawala wa nchi.

Kusoma sura kamili Yeremia 41

Mtazamo Yeremia 41:18 katika mazingira