3 Ishmaeli aliwaua pia Wayahudi wote waliokuwa pamoja na Gedalia huko Mizpa na wanajeshi Wakaldayo waliokuwa mahali hapo.
Kusoma sura kamili Yeremia 41
Mtazamo Yeremia 41:3 katika mazingira