Yeremia 42:2 BHN

2 wakamwendea Yeremia, wakamwambia, “Tafadhali sikiliza maombi yetu na kutuombea dua kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, sisi sote tuliosalia (kwa maana tulikuwa wengi, lakini sasa tumebaki wachache tu, kama uonavyo).

Kusoma sura kamili Yeremia 42

Mtazamo Yeremia 42:2 katika mazingira