Yeremia 43:2 BHN

2 Azaria mwana wa Hoshaia, Yohanani mwana wa Karea na watu wote mafidhuli, walimwambia Yeremia: “Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, hakukutuma wewe utuambie tusiende Misri, tukaishi huko.

Kusoma sura kamili Yeremia 43

Mtazamo Yeremia 43:2 katika mazingira