4 Basi, Yohanani mwana wa Karea na makamanda wote wa majeshi pamoja na watu wote hawakutii aliyosema Mwenyezi-Mungu, kwamba wabaki katika nchi ya Yuda.
Kusoma sura kamili Yeremia 43
Mtazamo Yeremia 43:4 katika mazingira