Yeremia 43:6 BHN

6 wanaume, wanawake, watoto, binti za mfalme na kila mtu ambaye Nebuzaradani, kapteni wa walinzi, alikuwa amemwachia Gedalia mwana wa Ahikamu, mjukuu wa Shafani, wakamchukua pia nabii Yeremia na Baruku mwana wa Neria,

Kusoma sura kamili Yeremia 43

Mtazamo Yeremia 43:6 katika mazingira