Yeremia 44:15 BHN

15 Kisha, wanaume wote waliojua kwamba wake zao walikuwa wameifukizia ubani miungu mingine, na wanawake wote waliokuwa hapo, kusanyiko kubwa la watu, pamoja na Waisraeli waliokuwa wanakaa Pathrosi katika nchi ya Misri walimjibu Yeremia:

Kusoma sura kamili Yeremia 44

Mtazamo Yeremia 44:15 katika mazingira